Friday, March 7, 2008

ALIYENIPA JINA LA CPWAAA!!


Aliaanza kujiita MR. BLUE akiwa bado chalii sana, sasa anajulikana kama BLUE a.k.a YOUNG BLUE a.k.a KABAISAA. Nilikuwa naajiita CRAZY POWER ( 1996 - 2000 ), then ikabaki CP mpaka sasa lakini Mr. Blue anamchezo wa kuweka SLANG za KISWAHILI kwenye matamshi yake mfano kabisa anasema kabaisa, ndipo akaanza kuniita CPWAA!! (2005 nakuendelea) GADNER G HABASH aliyekuwa manager wa Mr. Blue akalinyaka nae na kuanza kulitumia Redioni mwishoni likawa popular mpaka leo.Wengine sasa wameamua kuniita PWAA! Mi naona mzuka tu.Msanii mwingine aliyebadilishwa jina na Blue ni SNOOP LEE ambaye aliiitwa SNAA LEE mpaka mashabiki wake nao wakalizoea. Photo taken by Nokia E61i.

1 comments:

lynn said...

hey there cpwaaa!!!i love this guy ,hes got style,the energy and maaaaan the look.hook sister up hhehehee in afriendly way
lynn