Sunday, March 30, 2008

MSAADA PLEASE

Mambo vipi wadau? I hope weekend haikuwa mbaya.Well, kuna mdau ana swali na anaomba tumsaidie maana ya neno "MALAVI DAVI" Kwa kuanza tu mimi ninavyojua Malavi davi ni MAPENZI sijui kama kuna maana nyingine, na nimeshalitumia neno hilo kwenye baadhi ya post haswa zinazohusu mizinga ( Ajali) za barabarani nikiambatanisha na neno kama KISS ambalo nalitumia kama neno MZINGA/ PASI/ KUGONGANA na kadhalika.Jamani wadau naomba tumsaidie mdau mwenzetu aliyeuliza kama ifuatavyo:
" malavi davi maana yake nini maana viswahili vya bongo bwana vigumu kweli kweli najua tu blog ya Dianah ndio inaitwa hivyo"

4 comments:

Anonymous said...

halina maana yoyote ni uharibifu tuu wa lugha, mdau achana nalo hilo neno ni neno la mtaani tuu halina issue, ila wanatumia kama mapenzi, mahaba,

Dinah said...

Wee jina langu ni Dinah alafu pale pa'itwa Dinahicious au D'hicious, malavidavi ni neno/jina wanalotumia wanablog wakimaanisha mahali unapoweza kupata mambo ya kimapenzi, ngono na mahusiano kwa undani ziaidi.

Mimi binafsi nadhani maana yake ni mpenzi.

Anonymous said...

Thanx dinah ur a star,kweli si utani nilikuwa nataka sanaaaa kujua maana yake nini

Anonymous said...

Ahhh nimerudi kwenye hiyo topic nilioandika kumbe niliandika DIANAH sio DINAH sorry ndio maana umenipiga onyooooooooooo kali kuchanganyikiwa na kubeba mabox