
Sina taaluma ya utrafiki lakini nahisi kama jamaa alikuwa anataka ku"OVER TAKE" from behind.
KARIBUNI SANA! KATIKA BLOG HII UTAWEZA KUJIONEA VITU BWERERE NILIVYOVIKAMATA KUTUMIA KAMERA YA KWENYE SIMU YANGU.KUANZIA BURUDANI,MAISHA YA MTAANI,MARAFIKI NA EVENTS KIBAO,SIMU YANGU NI KAMERA,SIMU YANGU ITAKUKACAPTURE,SIMU YANGU NI NOMA!!
1 comments:
kweli hujui utrafiki, kwani ulitaka mtu a overtake kwa wapi?
Post a Comment